Habari za Mastaa

Exclusive:Mrembo aliezaa na Harmonize kafunguka kwa mara ya kwanza ‘Anamtumia mtoto?’

on

AyoTV & Millardayo.com  imezungumza na Mzazi mwenza wa Harmonize aitwae Shantee ambae amefunguka kwa mara ya kwanza ishu ya mtoto wake kuchukuliwa bila yeye kupewa taarifa huku akiwa anaumwa..PLAY hapa chini kumsikiliza.

MAMA WA MTOTO WA HARMONIZE KAIBUKA BAADA YA KAJALA KUMBEBA MWANAE AKIWA NA HARMONIZE

MAMBO HADHARANI HARMONIZE NA KAJALA NI WAPENZI? WAONEKANA WAKIWA PAMOJA ZANZIBAR

Tupia Comments