Top Stories

Exclusive:Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha 4 Tanzania, afichua siri (video+)

on

Kutokea Mbezi Sala Sala Dar es Salaam, nakukutanisha na Mwanafunzi aliyekamata Nafasi ya Kwanza nchini Tanzania katika matokeo ya Kidato cha Nne kutokea Shule ya Sekondari St.Francis Mbeya, Consolata Luguva.

SIRI FAMILIA YA MTOTO ALIYEONGOZA KITAIFA, MAMA NI MHADHIRI “MAMA MDOGO ALIONGOZA KITAIFA”

Tupia Comments