Michezo

Exclusive:Nyumbani kwa Mzee Mpili, maajabu ya maisha yake (video+)

on

AyoTV ilifunga safari kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji Pwani katika kijiji cha Ngomboloni ambapo ndio yalipo makazi ya shabiki na mwanachama mwandamizi wa Yanga SC Mzee Haji Omary Mpili kubwa kutaka kujua historia yake ya maisha hadi kujiunga na Yanga SC.

Tupia Comments