Top Stories

Exclusive:Stesheni mpya ya treni kwa ndani, ni kama Airport (video+)

on

Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Dar es salaam imekamilika kwa 100% na itakuwa na uwezo wa kuhudumia Watu zaidi ya 3200 kwa wakati mmoja ambapo stasheni hii imeunganishwa na barabara ya juu yenye urefu wa KM 2.5 ambapo treni zitakua zinapita juu kwa juu.
Ayo TV & Millardayo.com imefika kwenye mradi huo unaweza ukabonyeza play kutazama kila kitu.

MWISHO WA MACHINGA DSM NI LEO, TULICHOKIKUTA MITAANI NI HIKI

 

Tupia Comments