Top Stories

Exclusive:Wafunga Ndoa wodini baada ya mume kupata ajali na kukatwa mguu (video+)

on

Ndoa ya kijana Augustine Makule na mpenzi wake Rose Kimaro imevuta hisia za wengi jijini Dodoma baada ya wawili hao kufunga ndoa wodini.
Hatua hiyo imekuja baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya ndoa yao.

Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma imepelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu vya mguu wake wa kushoto.

Licha ya maumivu makali aliyokuwa nayo waliamua kuendelea na ratiba yao ya ndoa ambayo waliifungia ndani ya wodi ambapo mchungaji alifika na baadhi ya waumini na kuendelea na taratibu za ndoa.

Ayo TV imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kutazama

MAMA MLEMAVU ALIYECHANGIWA PESA YA BAJAJI NA HAYATI MAGUFULI, AIBIWA BAJAJI AFUNGUKA HAYA

ALIYEZIKWA NA PIKIPIKI YAKE “ALISEMA AKIFA AZIKWE NAYO, JENEZA LA KIOO”

Soma na hizi

Tupia Comments