Habari za Mastaa

Enjoy na hii ya zoezi la nguvu analopiga babu wa miaka 60.. (PICHAZ+VIDEO)

on

Babu

Kama una time asubuhi au jioni inashauriwa kwamba mazoezi ni muhimu kwa afya, nakupa hii sasa ya huyu mzee ambaye umri wake ni zaidi ya miaka 60 na hapa yuko zake anapiga mazoezi yani kama kawaida.

Babu II

Babu IIi

https://www.youtube.com/watch?v=EWjW3zv2A1s

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments