Mix

List ya viwanja 10 vya ndege ambavyo ni vya gharama zaidi duniani…(Pichaz)

on

Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.

Hii ndiyo list kamili…

11

1. Kansai International Airport –Japan: kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

 

22

2. Hong Kong International Airport – China, kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

 

33

3. Al Maktoum International Airport – Dubai: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 12 kujengwa

 

44

4. London Heathrow Airport – Uingereza: Kimetumia dola bilioni 10.5 kujengwa

 

55

5. Beijing Capital International Airport –China: kimetumia dola bilioni 8 kujengwa

 

66

6. Dubai International Airport –Kimetumia dola bilioni 6 kujengwa

 

77

7. Berlin Brandenburg Airport – Ujerumani: Kimetumia kiasi cha dola Bilioni 5.5 billion

 

88

8. Denver International Airport – USA: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 4.8 kujengwa

 

MALASIA

9. Kuala Lumpur International Airport – Malaysia: Kimetumia dola bilioni 3.5 kujengwa

 

DALAS

10. Dallas-Fort Worth International Airport – Texas, Marekani: kimetumia kiasi cha dola bilioni 3.2 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata piausisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments