Mix

Kuna haya madaraja ya gharama zaidi kujengwa yasikupite mtu wangu…Pichaz

on

dara8

Daraja la Kigamboni ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea huenda likaingia kwenye rekodi ya madaraja makubwa Afrika Mashariki.

Lakini ukuaji wa teknolojia duniani hasa sekta ya miundombinu imeendelea kukua zaidi hasa kwa nchi zilizoendelea na katika pitapita zangu nimekutana na haya madaraja makubwa kabisa duniania mbayo yanaongoza kwa kujengwa kwa gharama kubwa.

Hapa nimekuwekea haya 10 mtu wangu…

dara1

1. San Francisco – Oakland Bay Bridge, Eastern Replacement Span – gharama yake ni dola bilioni 6.4

 

dara2

2. Great Belt Fixed Link, lipo Denmark – gharama yake ni bilioni 4.4

 

dara3

Verrazano-Narrows Bridge, lipo katika jiji la New York City – gharama yake ni dola bilioni 2.4

 

dar4

4 Yeongjong Grand Bridge, lipo Korea Kusini– gharama yake ni dola bilioni1.9

 

dara5

5 Tsing Ma Bridge, lipo China – gharama yake ni dola bilioni1.35

 

dara6

6. San Francisco – Oakland Bay Bridge, lipo katika mji wa San Francisco Bay – gharama yake ni dola bilioni 1.3

 

dara7

7 George Washington Bridge, lipo katika jiji la New York – gharama yake ni dola bilioni1.1

 

dara8

8 Cooper River Bridge, lipo South Carolina – gharama yake ni dola milioni 836.9

 

dara9

9 Tacoma Narrows Bridge, lipo katika jiji la Washington – gharama yake ni dola milioni 827.7

 

dara10

10 Chesapeake Bay Bridge, lipo Maryland – gharama yake ni dola milioni 778.3

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments