Top Stories

“Nitafuatilia hata vitalu alivyogawa Waziri Nyalandu kinyume cha utaratibu” – Waziri Kigwangalla

on

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamis Kigwangalla amesitisha ugawaji wa vitalu na ameahidi atafuatilia vitalu vyote hata ambavyo alivigawa Lazaro Nyalandu kinyume na utaratibu alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.

Ulipitwa na hii? KIGWANGALLA AAGIZA MIFUGO YOTE ILIYOKAMATWA IACHIWE

Soma na hizi

Tupia Comments