Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Noel kuhusu gauni la Wolper kuchanika, kwanini hajatumia Farasi..?

on

The Stylist Noel ambaye ameshiriki kwenye upambaji wa shughuli ya Wolper iliyofanyika usiku wa December 6, 2018 ambapo Noel amefafanua baadhi ya mambo kuhusu shughuli hiyo ikiwemo swala la nguo aliyokuwa amevaa Wolper kuchanika kwenye stage pamoja na kigari cha farasi ambacho kilikuwa kikivutwa na watu badala ya farasi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: Kwa mara ya kwanza Mama Steve kaongea fumanizi la mzazi mwenzake Barnaba

Soma na hizi

Tupia Comments