fB insta twitter

Maneno 23 aliyoyaandika Faiza Ally kuhusu Alikiba

on

Leo March 15 2017 kupitia ukurasa wa Instagram wa muigizaji Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenzake na msanii mkongwe na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu), ameamua kuweka wazi hisia zake kwa msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba baada ya kuandika maneno ya upendo kuhusu msanii Alikiba.

Faiza ameandika haya kuhusu Alikiba…>>> Nimeamka namuwaza tu nasikiliza nyimbo zake huyu kijana mzuri bwana dah ? halafu Ana class flani hivi yaani wajanja tu kama mimi ndio tunamuelewa ❤️– Faiza Ally.

VIDEO: ‘Watanzania tunahitaji mtu kama Mange’- Faiza Ally

VIDEO: Show aliyofanya Alikiba Minneapolis Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments