Top Stories

VIDEO: Kutokea England hadi Cairo, Mzungu huyu shabiki damu wa Taifa Stars

on

Timu ya taifa ya Tanzania baada ya kusubiri kwa miaka 39 na kupata nafasi ya kucheza mchezo wa kwanza wa fainali za AFCON 2019 na kupoteza dhidi Senegal kwa magoli 2-0, baada ya mchezo huo AyoTV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na Niki Bongo Zozo raia wa England ambaye ni rafiki wa damu na Koffi.

“Kila mtu ana haki ya kuamua ni mtu wa wapi na mimi ni muafrika kama wewe, Uingereza kuna baridi sana sawa lakini kuna ukosefu wa utu, ingawa tumefungwa lakini nimekaa na watu walikuwa wanafujo wanashangilia”>>> Niki (Bongo Zozo)

VIDEO: Okwi baada ya kukabidhiwa tuzo AFCON 2019

Soma na hizi

Tupia Comments