Habari za Mastaa

Nimeidaka Trailer ya Fast & Furious 8 tayari…. Magari, ngumi na Ujuzi

on

Ni ule muendelezo wa filamu ambao huwa unafatiliwa na Watazamaji wengi wa movie duniani, Fast & Furious 8 ndio hii imenifikia na inatoka April 2017, unaweza kuitazama Trailer yenyewe kwa kubonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama Watanzania wanaofanana na Jay Z, Rais Magufuli na wengine kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mume kaenda kazini, Wife kaleta Mchepuko nyumbani.. tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments