Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Walichoandika Diamond na Wema Sepetu kuhusu Ommy Dimpoz
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Walichoandika Diamond na Wema Sepetu kuhusu Ommy Dimpoz
Habari za Mastaa

Walichoandika Diamond na Wema Sepetu kuhusu Ommy Dimpoz

November 24, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Upo usemi kwamba fahari wawili hawakai zizi moja, ndicho kinaonekana kutokea kati ya mastaa wakubwa wa Bongo Flava nchini, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ambao waliwahi kuwa marafiki zamani, lakini sasa wamethibitisha wazi kuwa hawako poa kama mwanzo.

Kupitia Interview iliyofanywa ndani ya show ya XXL kupitia Clouds FM jana November 23, 2016, Diamond Platnumz alifungua kifua na kueleza mambo mengi sana juu ya tofauti yake yeye na Ommy Dimpoz ikiwemo lakini hakikuwekwa wazi sana chanzo cha kutofautiana kwao.

“Hivi jamani kweli mimi nigombane na Ommy Dimpoz kwasababu ya Wema Sepetu kweli? Siwezi kufanya hivyo. Mimi nafikiri tusilizungumzie nadhani wenye macho wameshanielewa kama hawajaelewa tangu jana waje kuelewa leo? watakuwa washaelewa. Dozen mimi naamua kumsitiri mwenzangu.” – Diamond

mondi-2 mondi

Leo November 24, 2016 Ommy Dimpoz amepiga story na XXL ya Clouds FM pia, ambapo ameeleza kwa upande wake amepokeaje maelezo ya Diamond pamoja na ufafanuzi kuhusu ukaribu wake na watu ambao Diamond ameshatofautiana nao pamoja na kufanya kazi na Wema Sepetu.

“Mimi kwenda kushoot video ya Wanjera ndio ilikuwa sababu ya kutofautiana na Diamond, unajua mimi na Wema ni washkaji tangu hajaanza kuwa mpenzi wa Diamond, mimi nilimuweka Wema kwababu ana mashabiki wengi na nilitaka impact ya kazi yangu, mimi pia sijawahi kudate na Wema” – Ommy Dimpoz

wema

VIDEO: Alichokizungumza Diamond kuhusu Ommy Dimpoz, Collabo na Rick Ross & Rihanna. Bonyeza Play hapa chini.

VIDEO: Majibu ya Ommy Dimpoz kuhusu Diamond Platnumz, ukaribu wake na Wema Sepetu, Meneja Mubenga. Bonyeza Play hapa.

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: bongoflevanews, Diamond Platnumz, Ommy dimpoz, wema, Wema Sepetu
Admin November 24, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 2: Simba SC imemalizana na Tshabalala
Next Article VIDEO: Mechi ya Europa League ambayo Samatta aliihofia na kuhisi hahitajiki uwanjani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?