Michezo

PICHA: Gari “Rolls Royce” anayoimiliki mchezaji Emmanuel Adebayor

on

Pamoja na kutokuwa na Club anayoichezea kwasasa, mchezaji mahiri Emmanuel Adebayor bado anaendelea na maisha ya starehe, Nimezipata picha za gari yake mpya aina ya Rolls Royce ambazo ni kati ya gari zinazotumiwa sana na watu maarufu duniani wakiwemo wasanii.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Adebayor amepost moja ya magari yake ya kifahari aina ya Rolls Royce aliyoiwekea number za umiliki binafsi gari hiyo (Private Number) zenye herufi tatu za majina yake kama zinavyosomeka “0004-SEA” (Sheyi Emmanuel Adebayor), hajaisahau pia namba ya jezi ya timu yake ya Togo. 

Kwa mujibu wa Daily Mail gari hiyo ina thamani ya Euro laki tatu na sitini (360,000) ambazo ni zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 800.

2609483800000578-2966690-emmanuel_adebayor_stands_beside_the_rolls_royce_phantom_drophead-a-1_1424784945868

adebayor1-1024x579

VIDEO: Unafahamu kuhusu ushauri aliopewa Samatta na Daktari hasa kwenye aina ya chakula anachotakiwa kutumia? Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments