social network

TWITTER: Kitu Mwana FA amewaandikia Mbao FC

By

on

Mwana FA mbali na kuwa msanii lakini pia ni shabiki wa timu ya Simba SC, Leo April 30 2017 ametumia ukurasa wake waTwitter kuwaandikia ujumbe timu ya Mbao FC ambayo inakutuna na Yanga FC leo kwenye nusu Fainali ya FA.

Mbao FC,tunawaomba mfungwe leo!tuna shughuli na gongowazi mara moja ya mwisho kabla msimu haujesha huu..natanguliza shukrani za dhati‘-Mwana FA.

Ulimiss hii ‘Ni kweli niliitwa kuhojiwa’ Ridhiwani Kikwete itazame hii video hapa chini…..

Soma na hizi

Tupia Comments