Michezo

Unaambiwa huyu ndiye kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko wote,ipo pia list ya makocha wengine.

on

kapelooNikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri.

Hii ni rekodi aliyoiweka na kuwa miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.

Cheki mtiririko wa malipo ya makocha hawa ulivyo.

article-2654453-1EA52DB800000578-517_634x411

Tupia Comments