Habari za Mastaa

Fabolous kaja na video ya wimbo ‘Awwright’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa. (Video)

on

fabolous

Rapper maarufu wa Marekani Fabolous ameisogeza kwetu video ya wimbo wake mpya iitwayo Awwright na kama hukubahatika kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments