on air with millardayo

Mwana FA ajibu kuhusu Sugu na Jaydee, ajadili mengine >>> ‘nafikiri nitaacha muziki’

on

Millard Ayo hukaa na Mastaa kwenye On AiR with Millard Ayo kila wiki kwenye studio yake na kuwahoji ambapo time hii ilikua zamu ya hodari mwingine kwenye bongofleva MwanaFA na producer Daxo Chali.

Kwenye hii video hapa chini utayapata mazungumzo yote kwenye Exclusive iliyofanyika December 2016, FA anajibu ishu ambazo zimewahi kuripotiwa za kutoongea na Lady Jaydee, Sugu, label zinazoongelewa kwenye bongofleva, kwanini anaofanya nao kazi wanahesabika na mengine.

Ulipitwa na video mpya ya ‘dume suruali’ ya MwanaFA ft. Vanessa Mdee ? bonyeza play uitazame hapa chini kabla haijafikisha views MILIONI MBILI

Soma na hizi

Tupia Comments