Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Mwana FA azindua bidhaa zake za Body Spray zinaitwa “Fyn by FALSAFA” (+video)

on

Hii ni zaidi ya good news kwani Staa wa Bongofleva MwanaFA amegeukia upande wa pili na sasa anaanza kutengeneza pesa kwa kutumia jina lake ambapo amezindua na kuionyesha kwa mara ya kwanza bidhaa yake ya Body Spray iitwayo ‘FYN BY FA” alipokaa kwenye On AiR with Millard Ayo, bonyeza play hapa chini kumtazama na kuitazama body spray yenyewe

.

Soma na hizi

Tupia Comments