Michezo

Fainali ya FA Mashabiki kuingia Uwanjani

on

Chama cha soka England FA kitaruhusu mashabiki 20,000 kuingia Wembley kutazama mchezo wa Fainali ya FA Cup August 1 2020 endapo maambukizi ya virusi vya Corona yatakuwa yamepungua kwa kiasi kikubwa.

Uwanja wa Wembley unachukua mashabiki 90,000 lakini wataingia mashabiki 20,000 kwa maana ya mashabiki 10,000 kwa kila timu sababu ya kukwepa mkundikano wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments