AyoTV

Video yenye magoli yote ya fainali ya Mapinduzi Cup URA vs Mtibwa FullTime 3-1

on

Usiku wa January 13 Zanzibar ilipigwa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda vs Mtibwa Sugar ya Tanzania, Mtibwa Sugar wakapigwa 3-1 na kwenye hii video hapa chini utajionea magoli yote..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments