Habari za Mastaa

Faiza kafunguka ‘Nimetamani kuwa na Mwanaume, mahusiano ya mbali ni magumu’

on

Msanii wa filamu, Faiza Ally ambae time hii amefunguka kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram aliweka video  yenye dakika 3 ikiashiria  akisikika akisema anahitaji  mwanaume wa kuishi nae kwani mahusiano ya mbali yamemshinda.

Kupitia Video hiyo alisikika mrembo huyo na kusema ‘Kwanza mara Leo nimetamani ningekuwa na Boyfriend ama Mume kwasababu kuna mtu ninasababu nae za kibiashara amekuwa ananipa wakati mgumu sana ananisumbua’– Faiza Ally

Siko single Ila Baba Lily yuko mbali na hii Corona, mahusiano ya mbali ni magumu sana, nimetamani kuwa na Mwanaume ndio maana nafikiria ni wakati wangu kwa sasa wa kutafuta mtu sahihi sasa nimechoka’– Faiza Ally

Soma na hizi

Tupia Comments