AyoTV

VIDEO: Sakata la Vyeti feki Mwanza lachukua sura mpya

on

Sakata la vyeti feki ni moja ya stori kubwa kwa sasa Tanzania ambapo kila siku linakuja na sura mpya huku Watumishi wa Umma waliokuwa na Vyeti feki wakibainika katika Ofisi mbalimbali za Umma nchi nzima.

Leo May 13, 2017 Ayo TV na millardayo.com imemtafuta Afisa Habari wa Mwanza Atley Kuni ambaye anafafanua zaidi sakata hilo katika Mkoa huo kwenye Exclusive interview ambayo unaweza kuitazama kwa ku-play video hii…

Gumzo la vyeti feki Mwanza nalo ni noma…

EXCLUSIVE: Aliyesali kwa sauti Gari lisisombwe na maji afunguka… 

UDSM yaongea kuhusu ishu ya vyeti vya Waziri wa Sheria…

 

Soma na hizi

Tupia Comments