Habari za Mastaa

VIDEOMPYA: Rapper Falz wa Nigeria ametuletea hii video mpya ya ‘Weh done sir’

on

Rapper na mchekeshaji  Falz ni moja kati ya wasanii wa Africa kutoka Nigeria ambao wamefanikiwa kuvuka boda kupitia kazi zao. Falz ameweza kujinyakulia mashabiki wa kutosha Afrika mashariki kupitia hit song yake ya Solder, Soft work na nyingine kibao. Hapa ametuletea video ya wimbo wake mpya wa ‘Wehdonesir’ .

Video: Wasanii wawili waliotajwa na Rapper Falz wa Nigeria kwenye Collabo>>>

Soma na hizi

Tupia Comments