Habari za Mastaa

Fally Ipupa mbele ya waandishi awataja Diamond, Alikiba, ampamba Barnaba (video+)

on

Msanii wa muziki kutokea D.R.C Congo, Fally Ipupa time hii amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia show yake inayotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Mlimani Hall Dar es Salaam.

Katika video hii amewataja wasanii wanaotokea katika tasnia ya Bongo Fleva anaowakubali akiwemo Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Alikiba, Barnaba, Christian Bella.

OMMY DIMPOZ ASIMULIA KIBA ALIVYOOKOA MAISHA YAKE “HATA NIKIMFUMANIA NA MKE WANGU NA MSAMEHE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments