Michezo

Jamaa alivyoamua kujichora tattoo list ya mastaa wa soka mwilini, kisa ni love kwa Man City? (Pichaz)

on

Mpira wa miguu ni mchezo ulioteka hisia za watu wengi katika soka hususani wanaume, imekuwa ni kitu cha kawaida kuona mtu akijichora rangi mwilini mwake kama ishara ya kushangilia timu yake.

Hili linaweza kuwa geni kwa ukanda wa Afrika Mashariki lakini Ulaya imezidi kushika kasi.

Suraj-Nandurkar

Shabiki wa klabu ya Manchester City, Suraj Nandurkar ameingia kwenye headlines ya vyombo vya habari baada ya kuamua kuchora tattoo ya majina ya wachezaji wa Manchester City anaowapenda Suraj Nandurkar.

Shabiki huyo anasema aligundua kosa baada ya kumaliza kuchora kwamba amekosea spelling za majina ya Aleksandar Kolarov na Fernandinho.

Suraj-Nandurkar (1)

Suraj Nandurkar ambaye ana umri wa miaka 28, anaishi Mumbai India na anasema alianza kuipenda klabu ya Manchester City mwaka 2012 baada ya Sergio Aguero kufunga goli lililomvutia katika mechi dhidi ya QPR.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments