Michezo

Ni kama mashabiki wa Real Madrid walijua matokeo ya Klabu yao jana!! (Video & Pichaz)!!

on

busMapokezi haya kwa timu yao ni kama mashabiki wa Real Madrid walijua tu lazima timu yao itasonga hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya.

bus2

Kabla ya matokeo ya jana ambayo yameiweka Real Madrid kwenye vichwa vya habari waliweza kufanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenzao Atletico Madrid, mashabiki wao walikuwa na furaha ya aina yake na waliweza kujitokeza kwa wingi kuilaki timu yao katika uwanja wa Santiago Bernabeu.

Madrid ndio mabingwa watetezi wa kombe hilo.

Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments