Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: GoodNEWS: Mchezaji wa Tanzania mwenye dili jipya la kuvalishwa viatu na kampuni ya PUMA
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > GoodNEWS: Mchezaji wa Tanzania mwenye dili jipya la kuvalishwa viatu na kampuni ya PUMA
Sports

GoodNEWS: Mchezaji wa Tanzania mwenye dili jipya la kuvalishwa viatu na kampuni ya PUMA

April 5, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Soka la Tanzania linazidi kusogea na kuzipiga hatua za kimaendeleo na mastaa wake nao wanagonga vichwa vya habari kila kukicha, sasa hivi kiungo Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anakaribia kuingia mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani utakaomuwezesha kupata vifaa vya michezo bure kutoka kampuni hiyo.

“Puma walikuwa wananifuatilia wanataka kunidhamini baada ya kuongea na wakala wangu, tutaingia mkataba wa kunidhamini kwa vifaa vya michezo hususani viatu, nilivyokuwa timu ya taifa Samatta alinishauri nikubali kudhaminiwa na PUMA na ni baada ya mimi kumuuliza” >>> Farid Musa.

Azam-vs-Mtibwa-6
Farid Musa mwenye mpira kulia

“Lakini kuna vitu pia Samatta kanishauri niwaambie viwemo kwenye mkataba, niliongea na bosi Yusuph kuhusu mpango huo  akaunga mkono, kwa sasa bado nachipukia kuhusu kufaidika bado sijajua sana ila mimi malipo yangu itakuwa nikupewa vifaa na mimi kuvivaa nikiwatangaza, nikienda Ulaya ndio nitaanza kulipwa” >>> Farid

Farid tayari ameridhishwa na viatu vya Puma na kuvisifia viatu kama SL Boot na Evo Speed Faster kuwa ni vyepesi, kama huwa upo karibu na stori za sports, Puma wamekua wakifanya kazi na mastaa wa soka duniani na waliwahi kuingia mkataba wa pound milioni 5 wa kumdhamini mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya Manchester City Sergio Aguero.

UNAPENDA MOVIE ZA KITANZANIA? KUNA HIKI KIPISI… MUME KAENDA KAZINI WIFE KALETA MCHEPUKO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA April 5, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kingine kilicho-trend leo ni hii picha ya Davido na Wizkid pamoja
Next Article CONFIRMED: Yaya Toure bye bye Manchester City… kesho kutwa tu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?