Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Watanzania wawili kwenye Tamasha la Filamu Ufaransa
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Duniani > Watanzania wawili kwenye Tamasha la Filamu Ufaransa
Duniani

Watanzania wawili kwenye Tamasha la Filamu Ufaransa

June 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE
Cannes Film Festival ni tamasha kubwa Filamu Duniani ambalo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka 2017 limefanyika mara ya 70 tangu kuanzishwa kwake September 20, 1946.

Tamasha hilo huhudhuriwa na watu maalumu kutoka sehemu mbalimbali duniani ambapo mwaka 2017 Watanzania Ernest Napoleon na Miriam Odemba wakiwa miongoni mwa waliobahatika kupata nafasi ya kuhudhuria.

Wakati Ernest akialikwa kama Raisi wa Kampuni ya utengenezaji na utayarishaji  wa Filamu Marekani D Streets Media, Miriam Odemba amealikwa kuwakilisha Kampuni ya Chopard ambayo inaongoza kwenye utengezeaji wa vito vya thamani.

Picha za Ernest na Miriam Odemba zilisambaa weekend wakiwa kwenye Red Carpetkwenye mji mdogo wa Cannes, Ufaransa kwenye tamasha ambalo Filamu mbalimbali hufanyiwa review na Filamu moja hupewa tuzo na mara nyingi filamu zinayopata tuzo kwenye Cannes Film Festival hupata tuzo za Oscars Marekani.

Ernest Napoleone na Miriam Odemba katika pozi la Red Carpet kwenye Tamasha la Filamu Ufaransa

 

You Might Also Like

Silent Ocean imetupitisha kwenye Masoko ya vifaa mbalimbali Dubai, tazama (video+)

PICHA 6: Amber Rutty na mwenzie walivyotoka Mahakamani

PICHA 13: Hamisa Mobetto afuturisha watoto wasiojiweza

PICHA: Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa Movie ya Mama ya Aunty Ezekiel ‘May 13,2018

PICHA 20: Kutoka katika fainali za kumtafuta Miss IFM kwa mwaka 2018

TAGGED: picha
Admin June 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rayvanny amempost mtoto wake kwa mara ya kwanza na kuandika haya…
Next Article HEKAHEKA: Mume ataka kumchinja mkewe Kigoma, kisa..? (+Audio)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?