AyoTV

VIDEO: Sentensi za Rais Magufuli kuhusu mashujaa waliofariki vitani

on

Kila ifikapo July 25 ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya mashujaa ikiwa kwa mara ya kwanza July 25 2016 maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa katika mkoa wa Dodoma ambapo pia mgeni rasmi alikuwa Rais John Pombe Magufuli ambaye amewataka watanzania kudumisha amani ya taifa kama walivyofanya washujaa waliotangulia.

Rais Magufuli amesema…>>>’Tunapoadhimisha siku ya mashujaa tunawakumbuka wote waliotoa uhai wao kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani

Mashujaa wetu hawa waliofariki hawakujali Dini vyama wala makabila yao  katika kuitetea nchi yetu, tunapowakumbuka tuilinde amani‘ –Rais Magufuli

ULIIKOSA MANENO YA JK KWA WALIOSEMA CHAMA KINGEMFIA

Soma na hizi

Tupia Comments