Mix

VIDEO: Baada kifo cha Faru John, kuna habari hizi za Faru Fausta

By

on

Jumatatu ya March 27 2017 tume maalum iliyoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuchunguza kifo cha Faru John ilikabidhi ripoti kwa Waziri Mkuu ikisema kuwa faru huyo alikufa baada ya kukosa matibabu.

Leo March 29, 2017 nakusogezea stori inayomuhusu faru mwingine anayeitwa Faru Fausta ambaye anatajwa kuwa Faru mwenye umri mkubwa zaidi Duniani anayepatikana kwenye Hifadhi ya Taifa Ngorongoro akikadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 65. Bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: Unajua kuwa kuna mtoto wa Tembo anayekunywa maziwa ya Tsh 200,000 kwa siku? Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments