Habari za Mastaa

Wale wa ACTION MOVIES, icheki hii Trailer mpya ya FAST & FURIOUS 7

on

Furious 7 Movie Poster

Moja ya vitu ya kusikitisha ilikuwa ni kufariki kwa Paul Walker, mkali ambaye alikuwa kwenye timu ya mastaa ambao wamecheza movies kali za Fast & Furious, pamoja na akina Vin Diesel, Dwayne Johnson, Ludacris, Tyrese Michelle Rodriguez na Jordana Brewster.

Najua wapenzi wa movies za action wako tayari kuipokea hii mwezi April ambapo itakuwa sokoni rasmi, cheki trailer nyingine iliyoachiwa.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments