Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Mama yangu anampenda sana Ruby, sina namba yake” – Nandy

on

“Mama yangu anampenda sana Ruby kwasababu huwa tunasikiliza sana nyimbo zake, Mimi kushindanishwa nae naona ni sawa tu, kushindanishwa na………..” <<< hayo ni baadhi ya maneno ya Nandy alipoulizwa na Millard Ayo kwenye On AiR with Millard Ayo kuhusu Ruby ambae wamekua wakishindanishwa pamoja, bonyeza play hapa chini umtazame Nandy akiongea yote kuhusu Ruby

NANDY EXCLUSIVE: “RUGE ALINICHUMBIA, NDOA INGEFUNGWA MARCH 2019”

MARIOO AELEZA NANDY ALIVYOMUWEKEA POZI, ALIVYOSOTA GEREJI BAADA YA KUACHA SHULE

Soma na hizi

Tupia Comments