Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Serikali yapiga marufuku shule binafsi kuwachuja wanafunzi wanaotakiwa kufanya mitihani ya taifa ili kuonekana shule zinafaulisha pic.twitter.com/75Iwin1Ym1
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#NIPASHE Watano mbaroni kwa kukutwa na kadi 73 za ATM zinazomilikiwa na watu mbalimbali wakiwa tayari wamekwapua sh mil 7 kwenye ATM Kigoma pic.twitter.com/TMzFc1h66o
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#NIPASHE Mwalimu wa shule ya msingi Kanazi Ngara Kagera, pamoja na wenzake wameuawa wakituhumiwa wezi wa mbuzi na kuku pic.twitter.com/a9m5QYvCrd
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Lissu ahojiwa polisi saa tatu na nusu kwa madai yake kwamba serikali ina kikosi kazi cha kuwatesa watu wanaopinga uongozi wa JPM pic.twitter.com/KeGbXX4Vg4
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kumtengenezea tukio la ushoga mchungaji wa KKKT, wamefukuzwa kazi pic.twitter.com/lE6hn40wjv
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Mizigo inayomkabili M/kiti mpya NEC
1.Mabadiliko ya NEC
2.Kuhamia Dodoma
3.Mzigo wa kura ya maoni
4.Uchaguzi wa ubunge, madiwani pic.twitter.com/YU9tkavsOV
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Utafiti wa twaweza unaonyesha kuwa 50% ya kaya nchini haziwezi kumudu milo mitatu kwa siku pic.twitter.com/S0NTcMwwPY
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Dereva bodaboda Hanang' Manyara akatwa sikio kwa kisu kwa tuhuma za kufumaniwa akiwa na mke wa dereva wa teksi pic.twitter.com/lrwkUmxs3y
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MWANANCHI Wakati wengi wakiendelea kuaminishwa kuwa nyama nyekundu ina madhara kwa afya binadamu, ripoti mpya ya utafiti imekanusha hilo pic.twitter.com/zEYVntwzpB
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MTANZANIA Sekta tano zilizotikisa utawala wa JPM kutokana na kutokuwapo na usimamizi mzuri
1.Afya
2.Fedha
3.Uchumi
4.Bandari
5.Elimu pic.twitter.com/Hi0VIIvkmF
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MTANZANIA Mahakama Kisutu yafuta kesi ya Escrow iliyokuwa inamkabili mhandisi REA baada ya Jamhuri kuonyesha haina nia ya kuendelea na kesi pic.twitter.com/Nvf9HpunKP
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MTANZANIA Watu 2,994 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani kwa kipindi cha miezi 11 ktk ajali 8,337 ambapo majeruhi ni 9,383 pic.twitter.com/YQe6U6KK7i
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#MTANZANIA UTAFITI: Kufanya ngono hadi zaidi ya umri wa miaka 50 kunaweza kuongeza afya ya ubongo na kukulinda na ugonjwa wa kichaa cha uzee pic.twitter.com/JNhrfKG1Wo
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#JamboLEO Matumizi ya sukari nyingi yanahusishwa na ongezeko la magonjwa ya moyo, yanaweza kusababisha kifo kutokana na moyo kusimama ghafla pic.twitter.com/h8dOdpouMT
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#JamboLEO Shilole amesema mbali na muziki sasa anajishughulisha na kazi ya upishi ambayo kwa siku imekuwa ikimuingizia sh laki tano pic.twitter.com/atBDDRgIvQ
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#CHAMPIONI Klabu ya Genk ya Samatta ndiyo timu iliyotangaza rasmi kutaka kumnasa mshambuliaji Thomas Ulimwengu pic.twitter.com/cBm5BXE84w
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#BINGWA Mgomo wa siku 2 walioufanya wachezaji wa timu ya Yanga, huenda ukasababisha mambo makubwa ikiwemo mabadiliko ktk kikosi cha kwanza pic.twitter.com/LHRPQPZ2z6
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
#BINGWA FIFA imetoa msimamo wa viwango vya ubora wa soka mwezi December ambapo TZ imepanda nafasi nne kutoka 160 mwezi uliopita hadi 156 pic.twitter.com/sCa2qebjv3
— millardayo (@millardayo) December 23, 2016
AyoTVMAGAZETI: Sekta tano zilizotikisa Serikali ya JPM, Kibano kipya sasa chaja kwa shule binafsi, Bonyeza play hapa chini