Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Zipitie hapa habari kubwa kutoka magazeti ya Tanzania leo Dec 23 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > fB insta twitter > Zipitie hapa habari kubwa kutoka magazeti ya Tanzania leo Dec 23 2016
fB insta twitter

Zipitie hapa habari kubwa kutoka magazeti ya Tanzania leo Dec 23 2016

December 23, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine

#NIPASHE Serikali yapiga marufuku shule binafsi kuwachuja wanafunzi wanaotakiwa kufanya mitihani ya taifa ili kuonekana shule zinafaulisha pic.twitter.com/75Iwin1Ym1

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#NIPASHE Watano mbaroni kwa kukutwa na kadi 73 za ATM zinazomilikiwa na watu mbalimbali wakiwa tayari wamekwapua sh mil 7 kwenye ATM Kigoma pic.twitter.com/TMzFc1h66o

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#NIPASHE Mwalimu wa shule ya msingi Kanazi Ngara Kagera, pamoja na wenzake wameuawa wakituhumiwa wezi wa mbuzi na kuku pic.twitter.com/a9m5QYvCrd

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Lissu ahojiwa polisi saa tatu na nusu kwa madai yake kwamba serikali ina kikosi kazi cha kuwatesa watu wanaopinga uongozi wa JPM pic.twitter.com/KeGbXX4Vg4

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kumtengenezea tukio la ushoga mchungaji wa KKKT, wamefukuzwa kazi pic.twitter.com/lE6hn40wjv

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Mizigo inayomkabili M/kiti mpya NEC
1.Mabadiliko ya NEC
2.Kuhamia Dodoma
3.Mzigo wa kura ya maoni
4.Uchaguzi wa ubunge, madiwani pic.twitter.com/YU9tkavsOV

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Utafiti wa twaweza unaonyesha kuwa 50% ya kaya nchini haziwezi kumudu milo mitatu kwa siku pic.twitter.com/S0NTcMwwPY

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Dereva bodaboda Hanang' Manyara akatwa sikio kwa kisu kwa tuhuma za kufumaniwa akiwa na mke wa dereva wa teksi pic.twitter.com/lrwkUmxs3y

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MWANANCHI Wakati wengi wakiendelea kuaminishwa kuwa nyama nyekundu ina madhara kwa afya binadamu, ripoti mpya ya utafiti imekanusha hilo pic.twitter.com/zEYVntwzpB

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MTANZANIA Sekta tano zilizotikisa utawala wa JPM kutokana na kutokuwapo na usimamizi mzuri
1.Afya
2.Fedha
3.Uchumi
4.Bandari
5.Elimu pic.twitter.com/Hi0VIIvkmF

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MTANZANIA Mahakama Kisutu yafuta kesi ya Escrow iliyokuwa inamkabili mhandisi REA baada ya Jamhuri kuonyesha haina nia ya kuendelea na kesi pic.twitter.com/Nvf9HpunKP

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MTANZANIA Watu 2,994 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani kwa kipindi cha miezi 11 ktk ajali 8,337 ambapo majeruhi ni 9,383 pic.twitter.com/YQe6U6KK7i

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#MTANZANIA UTAFITI: Kufanya ngono hadi zaidi ya umri wa miaka 50 kunaweza kuongeza afya ya ubongo na kukulinda na ugonjwa wa kichaa cha uzee pic.twitter.com/JNhrfKG1Wo

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#JamboLEO Matumizi ya sukari nyingi yanahusishwa na ongezeko la magonjwa ya moyo, yanaweza kusababisha kifo kutokana na moyo kusimama ghafla pic.twitter.com/h8dOdpouMT

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#JamboLEO Shilole amesema mbali na muziki sasa anajishughulisha na kazi ya upishi ambayo kwa siku imekuwa ikimuingizia sh laki tano pic.twitter.com/atBDDRgIvQ

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#CHAMPIONI Klabu ya Genk ya Samatta ndiyo timu iliyotangaza rasmi kutaka kumnasa mshambuliaji Thomas Ulimwengu pic.twitter.com/cBm5BXE84w

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#BINGWA Mgomo wa siku 2 walioufanya wachezaji wa timu ya Yanga, huenda ukasababisha mambo makubwa ikiwemo mabadiliko ktk kikosi cha kwanza pic.twitter.com/LHRPQPZ2z6

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

#BINGWA FIFA imetoa msimamo wa viwango vya ubora wa soka mwezi December ambapo TZ imepanda nafasi nne kutoka 160 mwezi uliopita hadi 156 pic.twitter.com/sCa2qebjv3

— millardayo (@millardayo) December 23, 2016

AyoTVMAGAZETI: Sekta tano zilizotikisa Serikali ya JPM, Kibano kipya sasa chaja kwa shule binafsi, Bonyeza play hapa chini 

You Might Also Like

PICHA 9: Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie

Jamaa apiga simu polisi baada ya kufuatwa na Nguruwe Marekani

‘Nimepoteza beats za nyimbo zangu zote’ – Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

INSTAGRAM: Maneno 13 ameyaandika Tundu Lissu leo

Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”

TAGGED: Facebook Twitter na Insta
Edwin Kamugisha TZA December 23, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AyoTVMAGAZETI: Sekta tano zilizotikisa Serikali ya JPM, Kibano kipya sasa chaja kwa shule binafsi
Next Article FULL LIST: Majina ya washindi wa tuzo za Headies 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?