Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kumi kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#JamboLEO Vijana watatu wa 'Panya road' wanaoshitakiwa kwa uhalifu DSM wamefaulu mtihani wa taifa wa darasa la saba wakiwa gereza la Segerea pic.twitter.com/1MRVhkJMBC
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Jina la Lowassa lazua tafrani bungeni, ni baada ya mbunge wa CCM kutoa magazeti yenye habari zake pic.twitter.com/MZqGrFacyO
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Benki kuu ya Tanzania 'BoT' imesema inaendelea na uchunguzi wa watu waliokopa benki ya Twiga Bancorp iliyofilisika ili iwabane pic.twitter.com/IsXoPZPHKS
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Wabunge jana walivutana kuhusu Muswada wa habari, sehemu kubwa ya mjadala ilitawaliwa na kurushiana vijembe kati ya pande mbili pic.twitter.com/bAc0cbUtel
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Idadi ndogo ya wakunga ktk hospitali na vituo vya afya nchini imetajwa kuwa chanzo cha vifo vya wajawazito pic.twitter.com/JYuhMYe1YD
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Shule ya msingi Uhuru, Sengerema Mwanza imefungwa kwa madai ya walimu kupata hofu kutokana na kuwapo kwa ushirikina pic.twitter.com/FjA3MO2Ved
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#NIPASHE Uagizaji wa bidhaa ambazo hazijasajiliwa kutoka mataifa mengine ni moja ya changamoto zinazochelewesha mizigo kutoka bandarini DSM pic.twitter.com/qz4IZGs5aP
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#NIPASHE Mtandao wa kutetea haki za binadamu 'THRDC' umeazimia kufufua mchakato wa katiba mpya na kuhakikisha unamalizika kabla ya 2020 pic.twitter.com/iFZBVvqbQH
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#JamboLEO Jumuiya ya wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu 'TAHLISO' wamegomea mpango wa bodi ya mikopo wa kufanya uhakiki kwa njia ya dodoso pic.twitter.com/W7V9vT6RME
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#JamboLEO Imeelezwa mjamzito hatakiwi kula maini sababu ya madini kama Vitamin A, B Zinc na madini ya chuma, ni mbaya kwa mtoto tumboni pic.twitter.com/XD2n3KVgYY
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Mbunge Lema ameamua kufunga ili kuwa karibu na Mungu wakati akiendelea kushikiliwa na polisi mkoani Arusha pic.twitter.com/rJKevNfOkF
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#NIPASHE Mwalimu shule ya sekondari Songa, Muheza Tanga afumaniwa chumbani na mwanafunzi wake, wanafunzi waliomfumania wamuadhibu pic.twitter.com/Ym3KqNp1RM
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
#MWANANCHI Faida ya kuoga maji ya moto
1.Kulainisha na kutunza ngozi
2.Usingizi
3.Kushusha shinikizo la damu
4.Kusaidia mzunguko wa damu pic.twitter.com/puLuPBAqvR
— millardayo (@millardayo) November 6, 2016
UMEKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV NOV 6 2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI