Breaking News

BREAKING NEWS: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi

on

Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe amekamatwa na polisi.

Taarifa zaidi zinasema Zitto amekamatwa akiwa nyumbani kwake Dar es salaam na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe, habari hii imethibitishwa na Afisa Habari wa ACT Wazalendo Abdallah Khamis ambaye ameeleza kuwa sababu za kukamatwa kwake ni hotuba aliyoitoa juzi katika kata ya Kijichi.

Endelea kukaa karibu na AyoTV na millardayo.com tutakuletea taarifa kamili baadae.

ULIPITWA NA HII? Zitto Kabwe afunguka kuhusu Takwimu za pato la Taifa

VIDEO: Serikali yamjibu Zitto Kabwe, bonyeza play hapa chini kuipata hii mwanzo mwisho..

Soma na hizi

Tupia Comments