Michezo

FC Seoul yapigwa faini kwa kutumia midoli ya ngono

on

Club ya FC Seoul ya Korea Kusini imepigwa faini ya pound 66,500 (Tsh milioni 188.4) kutokana na kosa lao la kutumia midoli ya ngono ‘sex dolls’.

FC Seoul ilifanya hivyo na kuiweka midoli hiyo uwanjani kama mashabiki wakati wa mchezo wao wa nyumbani wa Ligi Kuu Korea Kusini dhidi ya uliyomalizika kwa FC Seoul kushinda 1-0.

Ligi Kuu Korea kusini ni miongoni mwa Ligi zinazomalizia msimu 2019/20 zikichezw bila mashabiki, huku nyingine zikipanga kurejea hivi karibuni bila mashabiki  sababu ya janga la Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments