Michezo

Video ya magoli ya FC Barcelona vs Atletico Madrid – Neymar alivyoiokoa Barca.

on

Barcelona_Atl_tico_Previa_1_Mshambuliaji wa kibrazil Neymar Da Silva jana usiku aliikoa FC Barcelona kutoka kupata kipigo katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya kombe la mabingwa wa ulaya dhidi ya Atletico Madrid. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1, Diego akianza kuifungia Madrid kabla ya Neymar kuja kuisawazishia timu yake ya Barca. Tazama video ya magoli hapa…..

Tupia Comments