Habari za Mastaa

FIESTA 2017 ndio imetengeneza gumzo la Diamond na Alikiba?

on

Moja ya story iliyopo mtaani kuhusu Alikiba na Diamond kuhusu kurushiana maneno kwenye mitandao na nyimbo inadaiwa kuwa imetegenezwa kwa ajili ya msimu mpya wa Fiesta 2017 ndio maana imekuwa kubwa.

Sasa Ayo TV na millardayo .com zimempata Mwenyekiti wa Fiesta 2017, Sebastian Maganga ambaye amezungumza kuhusu kinachoendelea juu Alikiba na Diamond na ishu yao ya kutupiana maneno.

Bonyeza PLAY hapa kufahamu zaidi

AFTER PARTY! Mastaa wa Bongo wakisherehekea ujio wa FIESTA 2017\

Soma na hizi

Tupia Comments