Habari za Mastaa

FID Q KAFUNGUKA: “Team KIBA hawajapenda, wanatukana… huwezi kunipangia” (+video)

on

Msanii wa Hiphop Fid Q amekaa kwenye Exclusive na AyoTV kuzungumzia ishu ya ngoma yake ya FRESH REMIX ambayo humo ndani Diamond Platnumz na Rayvanny wamefanya yao ambapo diss mpya ya Diamond kwa Kiba ndio imeanzia humo na kuzua gumzo mpaka yeye kuhusishwa.

Unataka kujua Fid Q amesema nini kuhusu kutukanwa, yupo Team gani? anawaza nini? …yote hayo na mengine mengi ameyajibu kwenye hii video hapa chini….

VIDEO: USHAURI WA HUDDAH KWA ALIKIBA NA DIAMOND…. TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

MANENO YA OMMY DIMPOZ BAADA YA VIDEO MPYA YA WCB KUACHIWA 

VIDEO: Hatimae Wolper kafunguka kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho…. bonyeza play hapa chini kutazama

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo’ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments