Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Mix

List ya washindi inazidi kuongezeka kila kukicha !!!

on

Kumekucha Kwenye Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa maana watanzania wanazidi kushinda bajaj kutokana na ubashiri wanaofanya kupitia timu ya ushindi, Safari hii kambi ya timu ya ushindi imehamia hapa jijini Dar es salaam katika viunga vya Mbezi Juu ambapo kuna mshindi wa droo ya 57 Emmanuel Nzuki anayekabidhiwa bajaj baada ya ushindi.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa bajaj hiyo Nzuki alisema hakuamini kama anaweza kushinda maana mara kadhaa alikuwa anacheza mara nyingi lakini hakubahatika kumbe wakati wake ulikuwa haujafika kubahatika sasa ndio ameamini baada ya kuupokea ushindi huo.

“Ama kweli nimeamini bahati ya mtu haipotei unajua vile nilikuwa nikiona wengine wakishinda nilijua labda wanaoshinda ni wale wenye kipato cha chini kabisa kumbe hata sisi wenye kipato cha kati inawezekana, siku ya leo yote naitumia kusherekea ushindi wangu” >>>Nzuki.

“Sikia nikwambie aisee ni kweli nina mshahara mzuri lakini bado bajaj hii itakuwa msaada mkubwa kwangu maisha ya kutegemea mshahara pekee ni magumu sana lakini kupitia bajaj hii naweza sasa boresha maeneo mengine mfano kulipia watoto wangu ada ya shule kuwasaidia ndugu na pesa nyingine naweza malizia malipo ya kiwanja changu na kuanza kujenga”

Mshindi huyo wa droo ya 57 aliwasisitiza watanzania kuacha woga na kujaribu bahati na SportPesa maana hata yeye wakati anaambiwa acheze hakuamini kama angeshinda lakini sasa tayari amefanikiwa kushinda na anamiliki bajaj yake aliyoshinda na SportPesa.

Kwa upande wa SportPesa Meneja Uhusiano Bi Sabrina Msuya alisema prom0sheni yetu ni kwa mitandao yote ya simu na mteja anaweza kushiriki kupitia simu yake ya mkononi kwa kupiga * 150*87# na kuweka pesa kwenye akaunti yake ya SportPesa kupitia AirtelMoney, MPESA, TigoPesa na Halopesa kisha kuweka ubashiri wake.

Chilunda alivyotoka uwanjani akimwaga machozi Lesotho

Soma na hizi

Tupia Comments