AyoTV

Aliekamatwa na nguo zenye brand feki ya Jux kazungumza ‘Sina Makosa’

on

Ni Septemba 5, 2019 ambapo uongozi wa mwimbaji wa Bongo Fleva, Juma Jux ilifunga safari mpaka Kariakoo kukagua maduka yanayohusika kuuza brand feki za African Boy.

Msako huo uliochukua masaa zaidi ya saa tisa walifanikiwa kuyakamata baadhi ya maduka na vyombo husika vikafanya kazi yake na hapa mfanyabiashara aliekamatwa na nguo zenye brand feki amezungumza.

 

Tupia Comments