Burudani

Video: Wizkid alivyotangaza kuachia wimbo mwingine baada ya ‘Ghetto Love’

on

Ni headlines za msanii wa Nigeria, mwenye hit single iitwayo ‘Ghetto Love’ Wizkid ambae usiku wa kuamkia leo ametangaza ujio wa wimbo mwingine mpya.

Mkali huyo ameyasema hayo wakati wa show ya Dj Tunez Blackout iliyofanyika jijini London, Uingereza ila hajaweka wazi ni upi, Staa Boy kwasasasa yupo mbioni kuachia  Album yake mpya iitwayo Made in Lagos.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza akizungumza baada ya kupanda jukwaani kwenye show ya Dj Tunez.

 

Soma na hizi

Tupia Comments