Burudani

Video: Party ya Diamond iliyofanyika kwenye boti (Yatch) DSM

on

October 1, 2017 Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alifanya Pre-Birthday party yake kwenye boti ‘Yatch’ ambapo alitoa mwaliko kwa watu wake wa karibu tu ikiwemo timu yake ya WCB, Aunt Ezekiel, Ritha Paulsen na wengineo.

Ulipitwa na hii? Alichopost DJ Khaled kuhusu Diamond leo

Soma na hizi

Tupia Comments