Top Stories

GOOD NEWS: Kama unaishi Manzese ikufikie hii

on

Kivuko cha Kilimahewa kwa wakazi wa Mtaa wa kwa Jongo na Manzese kinachounganisha Kata ya Makurumla kinatarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni ili kuondoa adha iliyokuwepo kwa miaka mingi kwa wakazi za eneo hilo

Ujenzi wa daraja hilo utagharimu fedha Tsh Milioni 18 kwa kivuko cha urefu wa zaidi ya mita 10 kikiwa na njia mbili tofauti kwa walemavu na watu wasio na ulemavu ili kurahisisha uvukaji.

Wakazi wa maeneo hayo wameeleza kuwa moja ya adha ya daraja lililopo sasa ni daraja hilo kumezwa kabisa na maji wakati wa mvua na kuhatarisha maisha yao hasa watoto na baadhi ya watu waliowahi kuzama na kuokolewa.

GUMZO LA UTEKAJI! Mzazi mwingine asimulia mtoto kutekwa, adaiwa MILIONI 4.5

Ulipitwa na hii? Rais Magufuli atinga kanisani kwa Wasabato Magomeni, awapa pesa

Mbunge wa CUF Hindu Mwenda amefariki

Soma na hizi

Tupia Comments