Mix

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 25 2016..

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,. John Pombe Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Mizego Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).

Mheshimiwa Mizego Pinda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt.Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mheshimiwa Pinda unaanza mara moja.

ULIIKOSA YA RAIS MAGUFULI ALIVYONUNULIA WATU SODA MWANZA NA YEYE AKANAWA MIKONO NA KULA MGAHAWANI? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments