AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga wapiga vipensi kumsapoti Zahera uwanja wa Taifa

on

Baada ya kuwepo na maneno mengi katika mitandao ya kijamii kuwa siku ya Jumamosi ya Septemba 14 2019 katika mchezo wa CAF Champions League kati ya Yanga na Zesco United ya Zambia, mashabiki wa Yanga walikuwa wanaiita ni siku ya vipensi kwa maana ya kuvaa na kumsapoti kocha wao.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments