AyoTV

VIDEO: Waziri Mpango alivyoomba kuidhinishiwa trilion 9.5 za Wizara ya fedha na mipango

on

June 01 2016 Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hotuba imesomwa na Waziri wake Philip Mpango.

Waziri Mpango amesema…’Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka 2016/2017 kupitia mafungu yote tisa ya bajeti inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi 8,716,493,400,510 kwa ajili ya matumizi ya kawaida.’

Kwa upande wa fedha za maendeleo, Wizara ya fedha na mipango inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi 791,998,424,268.

ULIIKOSA HII? MBUNGE LUSINDE ALIVYOWAONGELEA WAPINZANI KUKOSOA ISHU YA SAFARI ZA NJE ZA JK NA JPM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments